(A) KISWAHILI-LUGHA.
1.Ngeli-70%
2.Vianishi-20%
- Ngeli ni kama:
- *Kukanusha
- *Kukanusha
- *Viashiria visisitizi
- *Vimilikishi
- *Vivumishi vya pekee
- *a-unganifu(kutegemea ngeli)
- Wianishi ni kama:
- *Matumizi ya” kwa”
- *Matumizi ya “ki”
- *Matumizi ya “ji”
- *Sauti ghuna-nzito kutamka.
- *Sauti sighuna-nyepesi kutamka.
3.Msamiati-10%
kama;
- *Visawe-“Maana sawa”
- *Vitawe-“maana zaidi ya moja.
- *Vitate-“matamshi sawa na maana tofauti.
- *Majina ya makundi.
- *Msamiati ya sehemu mbalimbali.
- *Majina ya ukoo.
ILANI-Maswali ya uelemavu yameondolewa
Swali 1-15-kujaza pengo.
Swali 16-26-Msamiati
Ufahamu wa kwanza-ni hadithi ya ubinifu.
Ufahama wa pili-iwe mambo ya ukweli (mambo ipuka kama magonjwa/Dawa za kulevya nk.
INSHA-katika KCPE.
- *Methali
- *Barua
- *Mwanzo na kimalizio
- *Mjadala
- *Maelezo(kama upora ya wamyama/misitu)
Insha huru hutolewa Mara nyingi katika KCPE, mwanzo au kimalizio.
Barua ikitolewa-Mwanafunzi lazima afuate mtindo unaofaa.
{Mwanafunzi ana huru wa kuandika kichwa na ni LAZIMA kiambatane na taarifa}
Read also:
KCPE 2022 Tips and Common Mistakes Committed by Candidates